Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Rais Jakaya Kikwete amefanya Ziara ya siku moja katika Vikosi
vya Jeshi la Wanannchi wa Tanzania (JWTZ) vya Komando na Uhandisi Medali
vilivyopo Mkoani Morogoro.
Akizungumza
katika kikao maalum na Maafisa Askari wa vikosi hivyo,Rais Kikwete
amesema ameridhishwa sana na utimamu wa vikosi hivyo kimafunzo
↧