Mwanafunzi wa darasa la tatu Shule ya Msingi Majengo, wilayani
Kahama, mkoani Shinyanga amelazwa katika Hospitali ya wilaya baada ya
kunusurika kifo kutokana na jaribio la kuchinjwa na baba yake mzazi.
Tukio hilo limekuja siku 10 baada ya mtu mmoja,
Ustadh Mohamed Kurangwa (36), kumuua mwanafunzi wa Shule ya Msingi
Nzasa, Jamal Salum (12) kisha naye kuuawa, Mbagala, Dar es Salaam.
↧