Wanachama wamemaliza kupiga kura za maoni katika jimbo la Chalinze kumchagua mgombea wa CCM...
Matokeo ni kama ifuatavyo:
Ridhiwani Kikwete ameshinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,
Ilikuwa hivi:
1.Ridhiwani Kikwete kura 758
2.Shaban Iman Madega kura 335
3.Athuman Ramadhan Maneno kura 206
4.Changwa Mohamed mkwazu kura 12
Kura zilikuwa
↧