NA Mwamvua Mwinyi, Gazeti la UHURU, Bagamoyo
—HARAKATI za
kuwania ubunge katika Jimbo la Chalinze, mkoani Pwani, zimezidi kushika
kasi ambapo makada maarufu wa CCM, wamechukua fomu kuwania kuteuliwa.
Uchaguzi huo
unafanyika kutokana na kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Saidi
Bwanamdogo, aliyewatumikia wananchi kwa kipindi cha miaka mitatu.
Mnyukano wa
kuwania kuteuliwa
↧