Mfungwa aliyekuwa akitumikia kifungo cha miezi sita katika Gereza la
Butundwe wilayani Geita amembaka mwanafunzi wa Shule ya Msingi Luhuha
iliyoko Tarafa ya Butundwe na kumuumiza sehemu zake za siri, shingoni na
kwenye jicho la kulia -- anaripoti Marco Kanani wa gazeti la UHURU,
Geita.
Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 15 (jina linahifadhiwa) alitendewa unyama huo na mfungwa
↧