$ 0 0 Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia,January Makamba pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu wameshirikishwa kwenye wimbo mpya uitwao 'Haki' uliofanywa na wasanii 13 wa Hip Hop. Usikilize hapa