Ostaz Juma ameendelea kuongezea petroli kwenye moto aliouwasha juzi na sasa amewaamkia wasanii na watangazaji wote wa redio nchini akisema
njaa inawasumbua na ndio maana wamekuwa wakimsujudia..
Hiki ndicho alichokiandika kwenye Facebook:
Naona watu mmeguswa sana mimi kuanika Picha za PNC katika
mitandao et, tatizo wasanii wa tanzania mnanjaa sana kuanzia watangazaji
Radio na wasanii
↧