Benki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku
chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuidhinisha sheria mpya dhidi ya
mapenzi ya jinsia moja.
Sheria iliyoidhinishwa na Rais Yoweri Museveni, ilitiwa saini
Jumatatu na inatoa adhabu kali kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia
moja.
Wafadhili wengine tayari wameanza kusitisha misaada Uganda. Wahisani
kama
↧