Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), limeazimia
kuongoza maandamano kote nchini, kama Rais Jakaya Kikwete ataridhia
nyongeza ya posho kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.
Viongozi wa Tucta mkoani Dodoma walisema kitendo
cha wajumbe hao kulilia nyongeza ya posho kimewagusa mno na kimelifanya
shirikisho hilo kutokuwa na imani na wajumbe hao.
Hadi sasa hakujawa
↧