Jokate Mwegelo amemzungumzia muigizaji wa kike raia wa
Kenya, Lupita Nyong’o aliyegeuka mada kubwa Marekani na kung’aa katikati
ya mastaa wa Hollywood baada ya kushiriki katika filamu ya 12 Years a
Slave.
Akiongea na mtandao wa Bongo5, Jokate Kidoti amesema alivutiwa sana
na uigizaji wa Lupita Nyong’o kwenye filamu ya 12 Years A Slave na
kwamba kuna vitu ambavyo vinamfanya amkubali
↧
Jokate aeleza kinachomvutia zaidi kwa Lupita Nyong'o, adai weledi ni kitu alichojifunza kutoka kwake
↧