Madereva wa malori zaidi ya mia tatu wamegoma kuendelea na safari
katika barabara kuu itokayo Dodoma hadi Mwanza baada ya dereva mwezao
aliyekuwa akiendesha lori kuvamiwa na majambazi katika eneo la kisaki
manispaa ya Singida.
Wakiongea na ITV /Radio one madereva ambao
wamekutwa katika eneo hilo wameomba jeshi la polisi kufanya doria mara
kwa mara eneo hilo kwani kumekuwa na
↧