RAIS Jakaya Kikwete hajaongeza posho kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Sh 300,000 za sasa na kueleza kuwa hajawahi kupokea maombi ya nyongeza ya posho hiyo.
Badala yake amefanya marekebisho ya mpangilio wa posho hizo ambapo itabaki Sh 300,000 hiyo hiyo ya awali.
Maelezo hayo ya Rais Kikwete yaliyotolewa kupitia kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Salva Rweyemamu
↧