Baby Joseph ‘Madaha’.
MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Madaha’ amemchana staa
mwenzake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kwa kumwambia ni mcheza muziki wa
uswahilini (vigodoro).
“Hivi huyu ana akili au matope, nimfuatefuate ana nini? Hebu aangalie
muziki wangu ninaopiga na wake. Yeye ni wa hapa hapa, mcheza vigodoro,”
alifunguka Madaha.
Zuwena
↧