JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA
Hali ya uzalishaji, upatikanaji na uhakika wa chakula nchini imeendelea
kuwa ya kuridhisha katika maeneo mengi ya nchi kufuatia mavuno mazuri ya
msimu wa kilimo wa 2012/2013 ambayo mazao yake yanaendelea kuingia
sokoni kutoka maeneo mbalimbali ya nchi.
Uzalishaji wa mazao ya chakula katika msimu wa kilimo wa 2012
↧