STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amejikuta
katika hali mbaya kufuatia kunyweshwa sumu na mtu ambaye hakuweza
kufahamika mara moja.
Tukio hilo lilitokea usiku wa Jumapili
iliyopita maeneo ya Tegeta jijini Dar katika Klabu ya Seventy One ambayo
alikwenda kujiachia na marafiki zake.
Chanzo
cha uhakika, kilipenyeza habari kuwa, Kajala alinyweshwa sumu hiyo
kupitia
↧