Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa alikuwa miongoni mwa maelfu ya
waombolezaji waliofika katika ibada ya kuaga mwili wa Balozi, Fulgence
Kazaura aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki akiwa katika matibabu nchini
India.
Ibada hiyo ilifanyika katika Kanisa Katoliki la Mt
Peter, Oysterbay jijini, na kuhudhuriwa na viongozi wa chama na
Serikali, mabalozi mbalimbali Tanzania waliokuwa
↧