Mwanadada Wema Sepetu ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania 2006
ambaye kwa sasa anaendesha kampuni yake binafsi iitwayo Endless Fame
inayojishughulisha zaidi na utengenezaji wa Filamu mbalimbali amefunguka na kudai kuwa yeye mzuka wake kimapenzi upo kwa wanaume weusi na sio wanaume weupe.
Kupitia kipindi cha Leo tena February 28, Wema Sepetu amekubali
kutaja sifa za mwanaume
↧