Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars,
Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni
siri kwa pande zote mbili.
Uamuzi huo ulitangazwa jana (Februari 27 mwaka huu) jijini Dar es
Salaam kwa pamoja na Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Kocha Poulsen mbele
ya waandishi wa habari.
Rais Malinzi kwa niaba ya TFF ametoa shukrani za dhati
↧