Baada ya kusota rumande kwa takribani mwaka mmoja na miezi minne,
viongozi 10 wa Jumuiya ya Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Uamsho) jana
waliachiwa kwa dhamana yenye masharti nafuu na kujumuika na familia zao.
Awali, viongozi hao walishindwa kutimiza masharti waliyopewa na mahakama
ambayo yaliwataka kutoa fedha taslim Sh. milioni 25, kuwa na wadhamini
watatu wakiwa ni watumishi wa
↧