Ugonjwa wa homa ya nguruwe umelipuka tena mkoani Mbeya na kuua zaidi ya nguruwe 900 katika wilaya za Mbeya na Rungwe.
Mganga Mkuu wa Mifugo Mkoani Mbeya, Solomon Nong'ona akizungumza nasi jana alisema, ugonjwa huo umerudi tena baada ya kuzuka kwa mara
ya kwanza Januari mwaka huu na kutokomezwa.
Alisema kufuatia kuzuka tena kwa ugonjwa huo, serikali kupitia sekta ya
mifugo imepeleka
↧