Rais wa Bongo Movie Unit, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amemmwagia
sifa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuwa ni binti mdogo
lakini sasa anajitambua tofauti na wasanii wengine wakubwa.
Akiongea na mwandishi wetu alisema kuwa, mbali na umakini katika
kazi zake za kisanii, sasa hivi yuko makini sana na maisha yake kiasi
kwamba ni nadra sana kumkuta na skendo za
↧