Mwimbaji mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza
Stone’ amefunguka mazito juu ya matumizi mabaya ya bangi na madawa ya
kulevya ikiwa ni pamoja na jinsi alivyokuwa akiyatumia.
Akizungumza kupitia Kipindi cha Mtu Kati cha Global TV
mwanzoni mwa wiki hii, Banza alikiri kutumia madawa ya kulevya na
kusema; “Nilianza kuvuta sigara ya kawaida, nikaja bangi na baadaye
↧