Kilio cha wasanii kuitaka katiba mpya kuitambua sanaa ya Tanzania
kama sekta rasmi kimepewa sapoti na Naibu waziri wa Mawasiliano, Sayansi
na Teknolojia, January makamba na mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi
aka Sugu.
Kwa mujibu wa mtandao wa Bongo5, Makamba na Sugu wameshiriki kwenye
wimbo wa hip hop uliowahusisha rappers 13 wa Tanzania, wimbo wenye lengo
la kusisitiza sanaa
↧