Jumatano (February 26, 2014), Boss wa Watanashati Ostaz Juma alipost
picha kwenye ukurasa wake wa Facebook ikimuonesha PNC akimpigia magoti
kumuomba msamaha na kuandika “hahaha jamani mziki ni kazi pnc arudi
kuomba msamaha ili aendelee kufanya kazi mtanashati”. Kitendo ambacho
kilipondwa na wengi na kuonekana kama ni udhalilishaji.
Bonyeza play kuona video hiyo
Akiongea kupitia
↧