Baraza la Mitihani nchini limetoa ufafanuzi wa alama na madaraja yalivyopangwa kutokana na matokeo ya mtihani wa watahiniwa walioitimu Kidato cha Nne 2012/13 baada ya malalamiko yaliyotokana na mkanganyiko wa utaratibu huo mpya ambao haukuwepo katika miaka ya nyuma.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo, Kaimu Mtendaji wa Baraza hilo Dk Charles Msonde amesema
↧