Hospitali
ya taifa ya Muhimbili imemkamata mtu mmoja anae sadikiwa kuwa daktari
feki ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa akitapeli wagonjwa wanaoenda
kutibiwa katika hospitali hiyo ya taifa kwa namna mbalimbali Daktari huyo aliyejulikana kwa jina la Kitano Mustafa Kitani mwenye umri miaka 51 anadaiwa kuwa alikuwa anajitambulisha kama daktari upande wa akina mama katika hospitali ya
↧