Bwa.Marco Hingi akifurahia mara baada ya kujishindia gari hilo aina ya Noah kutoka kampuni ya Be Forward
****
Kampuni
ya uagizaji wa magari yaliyotumika kutoka JAPAN ya BEFORWARD imeendesha
shindano la kuwapata washindi 25 duniani kote waliojielezea jinsi
wanavyoweza kuitumia kampuni hiyo katika shughuli za maendeleo kupitia
ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook ambapo
↧