Kijana anayejulikana kwa jina moja la Emmanuel (30), amejikuta
akipokea kipigo kizito baada ya kukamatwa akiiba katika Chuo cha
Theofilo Kisanji ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT) Usharika wa Kijitonyama, Dar.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni kanisani hapo, mchana kweupe
ambapo jamaa huyo ambaye amekuwa akifika mahali hapo mara kwa mara,
alijikuta arobaini
↧