Madiwani wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika
Manispaa ya Shinyanga wametanganza kujiuzulu nyadhifa zao wakidai
uongozi ngazi ya taifa wa chama hicho unaendekeza majungu na
kudhalilisha baadhi ya viongozi kwa kuwaita wahaini au wasaliti bila
kuchambua ukweli.
Madiwani hao, Sebastiani Peter kutoka kata ya Ngokolo na Zacharia Mfuko
kutoka kata ya Masekelo,
↧