KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.
Willibrod Slaa, amesema kuwa mbunge au diwani anayetaka kuondoka CHADEMA
milango iko wazi, kwa sababu hawawezi kumvumilia kiongozi msaliti wa
chama.
Dk. Slaa alitoa msimamo huo jana wakati akimnadi mgombea ubunge wa
CHADEMA jimboni Kalenga, Grace Tendega, katika mkutano wa kampeni
uliofanyika kwenye uwanja wa mnadani,
↧