WATU wasiofahamika majina wala makazi yao, juzi walifunga Barabara Kuu ya Mbeya-Njombe, Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya kwa kuweka mawe, magogo, kuteka magari na kujeruhi abiria waliokuwa katika magari hayo.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Mbeya jana, Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo, Robert Mayala, alisema tukio hilo lilitokea saa 1:30 usiku, Kijiji cha Machimbo, Kata
↧