Wizara ya Fedha imepigilia msumari maombi ya wajumbe wa Bunge
Maalumu la Katiba ya kutaka waongezewe posho na kusema anayeona ameacha
kazi inayomlipa zaidi kwenda bungeni afungashe virago na kuondoka.
Msimamo huo umekuja siku moja tu baada ya madai ya wajumbe wa bunge hilo kutaka waongezewe
posho kutoka Sh300,000 za sasa kwa siku, kugonga mwamba baada
↧