Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), ameendelea kuweka pingamizi dhidi
ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda
akipinga maombi yake ya kufanya marejeo ya uamuzi wa Mahakama ya Hakimu
Mkazi Morogoro.
Sheikh Ponda anakabiliwa na kesi ya jinai katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, akidaiwa kufanya uchochezi maeneo
mbalimbali mkoani humo na kukaidi amri ya
↧