Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete amemteua Bwana Togolani I. Mavura (pichani) kuwa Msaidizi wa
Rais (Hotuba) kuanzia Februari 8, mwaka huu, 2014.
Taarifa
iliyotolewa Jumanne, Februari 25, 2014, mjini Dar es Salaam na Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa Bwana Mavura
anachukua nafasi ya Bwana Msafiri Marwa ambaye amehamishimiwa
↧