Kwa kipindi kirefu mkali wa ‘Single Boy’ Ali Kiba amekuwa kimya bila
kutoa kazi yake binafsi huku ukimya wake ukizua maswali mengi kwa
mashabiki na wadau wa muziki Tanzania.
Lakini February 25 Ali Kiba amezua maswali mengine kwa
mashabiki wake baada ya kuweka kwenye Instagram picha inayomuonesha
akiwa na AY na Mwana Fa na kuandika ‘@Aytanzania&007#mj record #wait
for it bonge
↧