Milipuko miwili inayosadikiwa kuwa ni ya mabomu imetokea katika maeneo mawili tofauti mjini Zanzibar na kusababisha hofu kubwa kwa wananchi....
Mlipuko wa kwanza umetokea katika hoteli ya Mercury iliyopo Forodhani na wa pili umetokea kanisa la Anglikana eneo la Mkunazini...
Habari zaidi zitakuijia hivi punde.
<!-- adsense -->
↧