Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba na
Mbunge wa Zamani wa Morogoro, Shamim Khan, nje ya ukumbi wa Bunge
mjini Dodoma Februari 24, 2014. Kulia ni mbunge wa Sumve Richard
Ndassa.

mjini Dodoma
↧