Zaidi
ya wakazi 300 wa kitongoji cha Olmapinuu katika kijiji cha Bwawani
wilaya ya Arumeru, juzi waliwashikilia kwa saa sita askari wanne
wastaafu wa Jeshi la Wananchgi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa na trekta lao
wakidai kuwa wamevamia eneo la shamba la wanakijiji hao.
Wananchi hao waliwatishia wastaafu hao kuwa watawateketeza kwa moto endapo wataendelea kulima shamba hilo.
Sakata
↧