Baraza
la mitihani la Taifa, NECTA, limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato
cha nne uliofanyika mwezi November mwaka jana, huku kiwango cha ufaulu
wa masomo ukipanda kati ya asilimia 0.16 na 16.72 ikilinganishwa na
mwaka 2012, na wasichana wakiibuka kidedea katika ufaulu wa jumla
kitaifa. Jumla ya watahiniwa 235,227 sawa
na asilimia 58.25 ya watahiniwa wote wamefaulu mtihani, idadi ya
↧