Suala la posho limezidi kuwa kaa la moto katika vikao vya Bunge
la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma leo, hali iliyomlazimu mwenyekiti
wa muda, Pandu Ameir Kificho ateue timu maalum ya watu 6 kutazama jinsi
ya kuboresha viwango vya posho hizo.
Timu hiyo inatarajiwa kuyachunguza kwa undani
mahitaji ya wajumbe wa Katiba, kisha kuisaidia serikali kutafuta jinsi
ya kuongeza posho hizo
↧