FAMILIA ya watu watatu akiwemo mtoto wa umri wa miaka saba
imelazimika kuhamishia makazi chooni baada ya paa la nyumba waliyokuwa
wakiishi kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua iliyonyesha wiki
iliyopita katika Wilaya ya Hai.
Familia hiyo ya Aziza Mohamed (55), mwanae wa kiume, Sikujua Aloyce
(40) na mjukuu wake wakazi wa Kitongoji cha Kijiweni, Kijiji cha
↧