Benard Membe amchokonoa Edward Lowassa kiaina ....Adai kuwa ikitokea kada...
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe, amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoruhusu mtu yeyote kununua urais kama njugu. Alitahadharisha kuwa kama itatokea kada yeyote...
View ArticleLulu Michael ayakumbuka mapenzi ya Steven Kanumba katika "siku ya wapendanao"
WAKATI kesi yake juu ya kifo cha aliyekuwa nyota wa filamu Bongo, Steven Kanumba ikianza kurindima leo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa la moyoni...
View ArticleKodi ya ving`amuzi kushuka......Lengo ni kuhamasisha kampuni nyingi zaidi...
Serikali imesema inatarajia kuwa kodi ya ving'amuzi itashuka ili kuhamasisha kampuni nyingi zaidi kujitokeza kuuza vifaa hivyo kwa wananchi, tofauti na sasa. Hayo yalisemwa mjini hapa mwishoni mwa wiki...
View ArticleHamisa Mobeto alikana penzi la Diamond...“Kamwe siwezi kutembea na Diamond na...
Mrembo aliyewahi kushiriki miss Tanzania Hamisa Mobeto a.k.a Hamisa kadomo amekanusha tetesi za kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii kipenzi cha kinadada Naseeb Abdul a.k.a Daimond Platnumz na...
View ArticleNdege ya Ethiopian Airlines yatekwa na Rubani wake, Abadili uelekeo na kutua...
Rubani msaidizi wa ndege ya Ethiopian Airlines iliyokuwa ikienda Roma toka Addis Ababa ameteka ndege hiyo mapema leo na kuilazimisha itue Geneva, Uswisi, polisi wameieleza AFP. Rubabi huyo alitenda...
View ArticlePicha za kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichofanyika jana ikiwa...
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili ukumbini kuendesha Kikao...
View ArticleDaladala zagoma jijini Mwanza zikidai nauli IPANDE.... Abiria nao waamua...
Madereva wa daladala jijini Mwanza leo wameamua kugoma kutoa huduma hiyo muhimu kwa jamii wakiishinikiza serikali kupandisha nauli na kupunguza faini pindi wanapokamatwa na...
View ArticleMkutano mkuu wa maofisa waandamizi wa jeshi la polisi waanza leo mjini Moshi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu, akisalimiana na makamishna wa Jeshi la Polisi baada ya kuwasili kwa ajili ya kumpokea mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya ndani kwenye ufunguzi wa...
View ArticleMahabusu afariki dunia baada ya KUJINYONGA kwa kutumia tambala la kupigia...
MAHABUSU, Vumi Elias (30), amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia tambala la kupigia deki ndani ya choo cha mahabusu ya Kituo cha Polisi Tunduma. Elias, mkazi wa Maporomoko-Tunduma,...
View ArticleGodbless Lema anusurika kukamatwa na jeshi la Polisi kutokana na WARAKA wake...
Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema jana alinusurika kukamatwa na makachero wa Jeshi la Polisi ili kuhojiwa kutokana na ujumbe wake aliouposti kwenye mtandao wa kijamii akiandika: “Rais Kikwete...
View ArticleNaibu Mwanasheria mkuu wa serikali aiomba mahakama kuu iitupilie mbali kesi...
NAIBU Mwanasheria Mkuu, Mhe George Masaju (pichani) amedai mahakamani katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) dhidi ya...
View ArticleLulu Michael akiri mahakamani kuwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na...
Mwigizaji maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael Kimemeta, amekiri mahakamani kuwa na uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa mwigizaji mwenzake, Steven Kanumba na pia kuwa ugomvi na Kanumba siku ya...
View Article"Fedha chafu zinachochea uhalifu nchini "...Hii ni kauli ya naibu waziri wa...
NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Perreira Ame Silima, amesema uwepo wa fedha chafu nchini umechangia kuendelea kukua kwa uhalifu. Kwa mujibu wa naibu waziri huyo, matendo hayo ya uhalifu ni...
View ArticleMchawi wa ungo adondoka jijini Arusha ....Baada ya watu kujaa, abadilika...
HALI ya taharuki iliyoambatana na imani za kishirikina iligubika Jiji la Arusha kufuatia mwanamke ambaye hakufahamika jina kudondoka na ungo wa kishirikina asubuhi ya Ijumaa iliyopita kisha ghafla...
View ArticleRais wa Rwanda, Paul Kagame aifanyia ukachero Tanzania....Jeuri yake yadaiwa...
JEURI ya wazi inayoonekana kuwemo ndani ya taarifa ambazo zimekuwa zikichapishwa mara kwa mara na vyombo vya habari vya serikali ya Rais Paul Kagame wa Rwanda dhidi ya Rais Jakaya Kikwete na serikali...
View ArticleMwanamke atiwa mbaroni baada ya kumfunga MINYORORO mtoto wa kaka yake na...
KATIKA hali ya kushangaza, mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Dorah Joseph (34) anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kutuhumiwa kumfunga mnyororo mtoto wa kaka yake aitwaye Happy Joseph (13)...
View ArticleVigogo sita wa CCM waliohojiwa na kamati ya maadili ya chama hicho wapewa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kati ya tarehe 13/02/2014 na tarehe 18/02/2014 kumekuwa na mfululizo wa vikao kadhaa vya Chama kitaifa vilivyoshughulikia suala la maadili ndani ya Chama. Vikao hivyo ni...
View ArticleMheshimiwa Pandu Amir Kificho ashinda nafasi ya Mwenyekiti wa Muda wa Bunge...
Spika wa Bunge la Wawakilishi Zanzibar na Mbunge wa Bunge maalum la Katiba, Pandu Amir Kificho amechaguliwa na wajumbe wa Bunge hilo kuwa Mwenyekiti wa muda. Kutokana na ushindi huo Kificho sasa...
View ArticleHabari njema kwa akina dada: Mchumba mwaminifu anahitajika haraka sana....
Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimekulia katika maadili ya kidini na malezi mazuri ya kifamia, napenda nichukue fursa hii nitangaze nafasi ya mchumba ambaye kama ata kidhi vigezo vyangu atakuwa...
View ArticleMkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Jumbe Mangu aongoza mkutano mkuu wa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Jumbe Mangu akisisitiza jambo kwenye mkutano Mkuu wa Maofisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika Chuo cha Taluma ya Polisi Moshi, mkoani...
View Article