Rubani msaidizi wa ndege ya Ethiopian Airlines iliyokuwa ikienda
Roma toka Addis Ababa ameteka ndege hiyo mapema leo na kuilazimisha
itue Geneva, Uswisi, polisi wameieleza AFP.
Rubabi huyo alitenda kitendo hicho cha ajabu kama
njia ya kujaribu kuomba hifadhi ya kisiasa nchini Uswisi. “Anadai
anaishi kwa hofu nchini kwake mwenyewe, hivyo anataka hifadhi
↧