Mrembo aliyewahi kushiriki miss Tanzania Hamisa Mobeto a.k.a Hamisa
kadomo amekanusha tetesi za kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii
kipenzi cha kinadada Naseeb Abdul a.k.a Daimond Platnumz na kusema kuwa
anamuheshimu kama shemeji yake.
Hamisa ambaye pia amewahi kuonekana katika video ya msanii Quick
Rocka ‘My baby’, ameiambia Global Publishers kuwa maneno yanayosemwa si
↧