Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa
Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
baada ya kuwasili ukumbini kuendesha Kikao Maalum Cha Halmashauri Kuu ya
Taifa ya CCM, mjini Dodoma jana, Feb 16, 2014.
Wajumbe
wa NEC, na Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib
Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda
↧