TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kati ya tarehe 13/02/2014 na tarehe 18/02/2014 kumekuwa na mfululizo wa
vikao kadhaa vya Chama kitaifa vilivyoshughulikia suala la maadili
ndani ya Chama.
Vikao hivyo ni pamoja na Kamati Ndogo ya Udhibiti tarehe 13-14/02/2014,
Tume ya Udhibiti na Nidhamu 18/02/2014 na Kamati Kuu tarehe 18/02/2013.
Waliohojiwa katika mfululizo wa vikao hivi ni
↧