KATIKA hali ya kushangaza, mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la
Dorah Joseph (34) anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kutuhumiwa
kumfunga mnyororo mtoto wa kaka yake aitwaye Happy Joseph (13) na
kumtelekeza bila kumpatia huduma muhimu, ikiwemo chakula.
Kwa mujibu wa majirani na mashuhuda, kisa cha mwanamke huyo kufanya
kitendo hicho cha kikatili, ni katika harakati zake za
↧
Mwanamke atiwa mbaroni baada ya kumfunga MINYORORO mtoto wa kaka yake na kuanza kumtumia KISHIRIKINA
↧