Spika wa Bunge la Wawakilishi Zanzibar na Mbunge wa Bunge
maalum la Katiba, Pandu Amir Kificho amechaguliwa na wajumbe wa Bunge
hilo kuwa Mwenyekiti wa muda.
Kutokana na ushindi huo Kificho sasa atakuwa na
kazi kuandaa kanuni ambazo zitatumika kwa ajili ya kumchagua mwenyekiti
wa kudumu wa bunge hilo na kusimamia vikao vyake.
Muda wa mwenyekiti
↧