Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema jana alinusurika
kukamatwa na makachero wa Jeshi la Polisi ili kuhojiwa kutokana na
ujumbe wake aliouposti kwenye mtandao wa kijamii akiandika: “Rais
Kikwete mbona umeamua kuliangamiza taifa.”
Akizungumza na gazeti la Mwananchi jana akiwa njiani
kuelekea Dodoma kushiriki Kikao cha Bunge la Katiba, Lema
↧