MAHABUSU, Vumi Elias (30), amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa
kutumia tambala la kupigia deki ndani ya choo cha mahabusu ya Kituo cha
Polisi Tunduma.
Elias, mkazi wa Maporomoko-Tunduma, aliyetuhumiwa kwa unyang’anyi wa
kutumia nguvu katika eneo la Tunduma wilayani Momba, alifariki dunia
jana, saa 12 asubuhi muda mfupi baada ya kufikishwa katika Kituo cha
Afya Tunduma
↧